Ituri : wakimbizi wa vita wabakwa na ku jerusiwa nawahuni weye silaha kwenye kambi ya plaine savo

Watu waliokimbia makazi yao wanaoishi katika kambi ya Plaine Savo, karibu na Fataki, katika eneo la Djugu, bado wako katika hatari kubwa ya ukatili na mashambulizi.

Katika taarifa iliyotolewa tarehe 8 Septemba 2026, Médecins Sans Frontières (MSF) inasema kuwa, katika miezi sita iliyopita, kituo cha afya kinachosaidiwa na MSF kilipokea karibu waathirika 60 wa ukatili wa kingono kila mwezi, pamoja na watu 7 walioumia kwa risasi au silaha za kukatia kila wiki.

Kwa mujibu wa MSF, baadhi ya waathirika walishambuliwa wakati walipotoka kambini kwenda mashambani, kutafuta kuni au kutafuta mahitaji ya familia zao.

Hali hii ya ukosefu wa usalama pia inafanya watu washindwe kufikia mashamba yao na kuongeza tatizo la chakula. MSF inasema kuwa karibu watu 9 wapya wenye ugonzwa sababu ya ukosefu wa chakula wanapokelewa kila wiki katika eneo hilo.

MSF inatoa wito wa kuimarisha ulinzi wa wakimbizi wa ndani na kuruhusu mashirika ya kibinadamu kufikia zaidi watu walio katika mazingira magumu.

Muandishi

Loading

LIRE AUSSI

Ituri : à Plaine Savo, les déplacés exposés aux violences sexuelles et aux attaques armées

Loading

Gavana wa ituri anaomba raiya ya Mambasa kuungana pamajo kwaku piganisha amani irudi

Loading

Ituri : À Mambasa, le gouverneur militaire prêche la paix, l’unité et la cohésion sociale, et promet de rétablir la paix.

Loading

Tchomia : « toute maladie n’est pas Ebola », la société civile appelle à se faire soigner dans les structures sanitaires

Loading

Mambasa : lancement des opérations militaires pour déloger les forces Wazalendo de l’Ituri

Loading

Djugu : des hommes armés cabriolent une boutique et sèment la panique à Tchomia

Loading

Chronique Santé /Djugu : quand la peur d’Ebola vide les salles de classe à Tchomia

Loading

Djugu : Rentrée scolaire 2026-2027 timide sur fond de psychose Ebola à Tchomia

Loading

Chronique Santé : Face à la propagation du virus d’Ebola en Ituri, l’école doit aussi devenir un front de prévention

Loading